FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Yanga wamecheza vizuri hasa kulingana na Hali ya uwanja, Magoli waliyofungwa ni Magoli ya nje ya uwanja, goli la kwanza haikua Kona na mshika kibendera alikua mita mmoja kutoka ulipo mpira.

Goli la pili Yanga wapigiana pass mbovu na Kupoteza mpira bila Sababu.
Zaidi ya yote hawakucheza vibaya ila matokeo Mabaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeeeh sanaaaa
 
Nilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.

Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga

Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.

Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.

Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.

Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.

Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"

Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.

Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.

Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)

Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.

Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
Well said

Kubwa nimefurahi tumewaziba midomo

Uto walikua wanatamba sana kabla ya mechi yaleo

Asante Mungu tumeibuka na ushindi mnono wa points zetu3

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Uto kesho wanaenda mahakamani kuishitaki Simba kwa kucheza Wachezaji wapya leo. Ally Salim, Erasto Nyoni na Nassor Kapama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom