Waendelee kushupaza shingoGeita sio timu ni kikundi cha wahuni tu. Hata washambulie vipi hawapati hata sare.... Nimewaomba Wana Yanga waache kufwatilia game kuwasapoti Geita ni kujipa presha bure!
Usiunguze tuNaona kwa mbaliiii na kiredio changu maana napika huku nachungilia
Bocco apumzike tuBoko na Ajibu Ni mizigo kwenye hii Mechi
Kikosi hiki ni tofauti kidogo, huoni advocate hayupo?Hawa Simba waache uzembe wa kubweteka. Mbona game ya juzi na Red walikaba mwanzo mwisho?
Nadhani mwalimu amekiweka mahususi ili ajue nani ni naniKikosi hiki ni tofauti kidogo, huoni advocate hayupo?
Ko Ni kikosi Cha majaribio...?Nadhani mwalimu amekiweka mahususi ili ajue nani ni nani
Akina Nan🙄🙄🙄Piiiigaaaaa hao
Sure!!Nadhani mwalimu amekiweka mahususi ili ajue nani ni nani