Kafanya hivyo ili ku save wachezaji muhimu wasipate majeraha ambayo yatawafanya wakose mechi muhimu ya marudiano kwenye mashindano ya vlub bingwaNadhani mwalimu amekiweka mahususi ili ajue nani ni nani
Tulia ya Simba hayakuhusuKo Ni kikosi Cha majaribio...?
Amekuwa maziwa lala.au ziwa lipo kwa kitovu huku.Jamani Boccco kawaje tena
Kwa kikosi cha juzi kilichocheza na Reds mtachabangwa hata 5 na SimbaHawa Kolo akigongwa chini ya mbili na Yanga tar 11 nitasikitika sana
Utofauti wenu nyie na sisi ni pale msimu unapoanza wa ligi kila mmoja anakua na malengo yake anayo jiwekeaHawa Kolo akigongwa chini ya mbili na Yanga tar 11 nitasikitika sana