FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Hivi kule Ali Hassan Mwinyi Tabora Nahimana alicheza?
 
Mbona hukusema mapema jambo hili!?
 
Ila we jamaa kesi kama sio yako acha kuidharau, kwenye kesi ya wizi wa kuku jaji anaweza kupiga hata nyundo 30 usidharau

Yaani yale mautundu ya sakho yoote hujayazungumzia, unakuja kuzungumzia kipa?

Tuseme kwamba uko sahihi na ni kweli yule kipa kachomesha

Haya ni wachezaji wengine wakiwemo washambuliaji walishindwaje kumfunga manula goli 3 ili hata tulivyowafunga 2 wawe na advantage ya kucheza fainali?

Vipi....unauona ugumu wa namungo kuifunga simba goli 3 sio?

Haya vipi goli 2 nazo zingewezekanika kwa mazingira gani pale hebu imagine hata wewe?

Kipa kuchomesha kunawazuiaje wachezaji wengine kufunga?

Umeona ilivyokuwa ngumu? Sasa je na hawa tuseme wamechomesha?
 
Unanipa raha kama Sakho.
 
Namungo FC inamilikiwa na shabiki wa Simba bwana Kassim Waziri, inafundishwa na Shabiki wa Simba bwana Julio Kihwelo , imeingia uwanjani ikimtegemea mshambuliaji shabiki wa Simba Shiza Kichuya golini ikampanga shabiki wa Simba Jonathan Nahimana.

Full time Simba A 2- Simba B 0
 
Hizi porojo zitasikilizwa na mtu ambaye hakuangalia mpira

Hivi kwa ubora alionao simba utamlaumu namungo kwa lipi?


Kwa hiyo simba alivyokufunga goli 4-1 kwenye fa uliweza kufikiria sababu itakuwa ni kiongozi gani ambaye yupo yanga ila ana mapenzi ya simba kwamba ndio sababu mmefungwa?

Hoja yako hii naifananisha na yule demu aliyesema sababu ya simba queens kuwafunga yanga princess ni kutokana na kuwepo kwa refa wa kiume.....Aliongea kwa mihemko kama wewe ila baadaye akaja kuomba radhi
 
Nimeenda kwenye special thread ya yanga nilichokiona kimenihuzunisha sana

Kila mwana yanga anamtupia lawama kocha, mara kaze atimuliwe hana uwezo wa kufundisha timu kama yanga.

Yaani kwa kiwango kibovu walichoonesha wachezaji wa leo plus na lile shati lililokaa golini kwenye penati lakini bado wananchi wana amini tatizo ni kocha seriously?
 
Julio kama Julio. Kufunga kafunga Sakho lakini anataka kupiga mwandishi wa habari.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao kmc baada ya kumuondoa nahimana bado wamepigwa nne na simba

Possesion 67 kwa 33 unamlaumu golikipa kwa lipi? Goli la kwanza kapambana sana audake ule mpira goli la pili ile angle asingeweza kuudaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…