FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Utopolo ndoto zao ni sawa na za nyani! Nyani anaota ipo siku atajenga nyumba…!!!
Utelembwe wanaota watachukua ubingwa wa ligi kama huyu alivyoota simba kufungwa…
Kwa kifupi utopolo ni mazwazwa
 
Huu mpira namungo wanacheza kuheshimu sheria tu, morale yao inaonesha kabisa kwamba wamekubali kufungwa ni mwamuzi tu ndo anaye wachelewesha
 
Back
Top Bottom