FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.

Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---


View attachment 2757123
Kikosi cha Simba kinachoanza mchezo

View attachment 2757124


7' Goal Jean Baleke Simba 1 - 0

12' Goal Jean Baleke 2 - 0

40' Goal Jean Baleke anafunga kwa njia ya penati, Simba inaongoza 3 - 0
Ila hui ugomvi wa ndugu,ni ngumu sana kuingilia
 
Wakifanya faulo za kustahili red card haiwezi kuwa excuse refa awaachie eti kwakua wana red card moja
kwel ila mbona hizi huwa kwa mechi ya simba tu, wengine wakichezewa na watu wa simba hazitoki

rejea faulo ya inonga kwa sureboy
 
Back
Top Bottom