FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Ila hui ugomvi wa ndugu,ni ngumu sana kuingilia
 
Wakifanya faulo za kustahili red card haiwezi kuwa excuse refa awaachie eti kwakua wana red card moja
kwel ila mbona hizi huwa kwa mechi ya simba tu, wengine wakichezewa na watu wa simba hazitoki

rejea faulo ya inonga kwa sureboy
 
Ajibu anapiga freekick eneo zuri

Shuti lake linababatiza ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…