Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wanasimba ndiyo walikuwa wa kwanza kukosa huo ubingwa wa TZ PL mara 4 mfululizo baada ya Bingwa wako Yanga FC kubeba mara 3 mfululizo akifuatiwa na Azam FC.Na pale Yanga walipokosa misimu minne mfululizo, baadaye misimu miwili wakabeba kombe, je walibebwabebwa?
Aden Rage alikuwa sahihi sana kuwaita Mashabiki wa Simba MBUMBUMBU PRO MAX.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app