Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulazimishwi ila Unaambiwa ukweli.
Ni jambo la kawaida mkuu sis waswahili ndyo tabia zetu huwa tunafurahi mtu yampate mabaya awe ndug yako au asiwe ndugu yako ni nongwa tu..Unajiabisha mkuu...
Unajiabisha sana, unafurahia binadamu mwenzako kuvunjika.
Wewe unapata nini?
😄😄😄Ndio raha ya kuwa na tawi
😂Haya matatu aliyofunga saizi ni yale aliyokosa Zambia.
Sasa second half anakuja kufunga ya mechi husika ya leo
Huyu ni mke wa mtuUkute na wewe eti ni mme wa mtu na baba wa watu? Nyuma mwiko ama kweli!
NI aibuNi jambo la kawaida mkuu sis waswahili ndyo tabia zetu huwa tunafurahi mtu yampate mabaya awe ndug yako au asiwe ndugu yako ni nongwa tu..
Siku zote upumbavu wa mtu huwa haujifichi..
[emoji382] Imepenya hiyo ndiyomaana umeninukuu [emoji2]Ukute na wewe eti ni mme wa mtu na baba wa watu? Nyuma mwiko ama kweli!
Huyo "Kalia" ndiyo nani Mkuu?kalia kawapa point na magoli ya kutosha leo
Kweli kabisa Mamaangu kipenzi cha roho yangu [emoji1787]Huyu ni mke wa mtu
Hahahahaah au sioHaya matatu aliyofunga saizi ni yale aliyokosa Zambia.
Sasa second half anakuja kufunga ya mechi husika ya leo
Ulijuaje wewe Nabii uchwara [emoji848][emoji1732][emoji38]ni dalili za kufuatilia mechi ya wapinzani wako huku ukiwa na stress [emoji16]
Bado hujasema.Mbumbumbu ni wahanga kiakili kutobeba TZ PL misimu miwili mfululizo 2021/22 - 2022/23, lazima wabebwe bebwe kama matoto akina Junior ili yasiwehuke [emoji2960]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni mvaa bikini? mie nikajua mwamba.Huyu ni mke wa mtu
Unataka kusema kwamba iyo misimu miwili mlikuwa mnabebwa nyie wakina junior?Mbumbumbu ni wahanga kiakili kutobeba TZ PL misimu miwili mfululizo 2021/22 - 2022/23, lazima wabebwe bebwe kama matoto akina Junior ili yasiwehuke [emoji2960]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app