Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
[emoji23]Huyu Baleke si tukajua amefunga zipu
Sa mbona anachana pakti nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Huyu Baleke si tukajua amefunga zipu
Sa mbona anachana pakti nyingine?
Makubaliano Simba mwana afungwe 7-0Kuna mtu alisema Simba leo wanaanza kuongoza ligi.
Inaonekana ume maindi
Ukiachana na ushabiki, ni ujinga kufurahia mchezaji kuvunjwaLeo kakunjwa yeye hadi wamekapeleka hospital 😂🤣😂😁😁 wahuni sio watu
Inawezekana.Apimwe akili
Kama msimu uliopita!!Makubaliano Simba mwana afungwe 7-0
Kwa vile wakwenu sio?Ukiachana na ushabiki, ni ujinga kufurahia mchezaji kuvunjwa
Huo ni ushabiki za kijinga.....mpira sio uadui....Ukiachana na ushabiki, ni ujinga kufurahia mchezaji kuvunjwa
Mbona kuna mwenzenu ametabiri Simba anakufa 2-0 ? Hakuyaona haya makubaliano?Makubaliano Simba mwana afungwe 7-0
Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake). Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri. Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.
Ndio raha ya kuwa na tawiKama msimu uliopita!!
Nani ateseke,kila mwenye akili timamu alishajua nini kinakwenda kutokea,mfano mzuri ni Azam TV wameamua kurekodi hii match kwa kutumia tekno F1Uto mneteseka sana kwa sababu ya Mnyama wakati wanaokandwa ni wengine, kwa hali hii life span yenu lazima ipungue
Mbona na nyinyi mlivyo wajinga mnamfananisha mayele na beleke ambaye beleke haitwi hata timu ya taifa mara ooh mayele kamkimbia belekeUkiachana na ushabiki, ni ujinga kufurahia mchezaji kuvunjwa
Nimesema ni ujinga kufurahia mchezaji kuumizwa. Sijui inakuwaje unakuwa na kichwa kizito kuelewaKwa vile wakwenu sio?View attachment 2757207
Usinilazimishe wala kunipangia kipi nifurahie na kipi nichukie.Nimesema ni ujinga kufurahia mchezaji kuumizwa. Sijui inakuwaje unakuwa na kichwa kizito kuelewa
Mayele yupi, yule mchezaji wa Pyramids ya Misri?Mbona na nyinyi mlivyo wajinga mnamfananisha mayele na beleke ambaye beleke haitwi hata timu ya taifa mara ooh mayele kamkimbia beleke
Hata darasani kuna wanafunzi huwa wakishindwa kabisa kuelewa masomo, husema tusipangiane maisha! 😁Usinilazimishe wala kunipangia kipi nifurahie na kipi nichukie.
Unajiabisha mkuu...