FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Ukiachana na ushabiki, ni ujinga kufurahia mchezaji kuvunjwa
Kwa vile wakwenu sio?
FB_IMG_16953042354770587.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uto mneteseka sana kwa sababu ya Mnyama wakati wanaokandwa ni wengine, kwa hali hii life span yenu lazima ipungue
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Makubaliano Simba mwana afungwe 7-0
Mbona kuna mwenzenu ametabiri Simba anakufa 2-0 ? Hakuyaona haya makubaliano?

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake). Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri. Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.
 
Uto mneteseka sana kwa sababu ya Mnyama wakati wanaokandwa ni wengine, kwa hali hii life span yenu lazima ipungue
Nani ateseke,kila mwenye akili timamu alishajua nini kinakwenda kutokea,mfano mzuri ni Azam TV wameamua kurekodi hii match kwa kutumia tekno F1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kujisemea Azam tv #NABADO
hapa kenedy juma ndipo alipotakiwa kuanza piga misumari...aoni wenzie..
 
Back
Top Bottom