FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Benchi la ufundi,wampelekee kimemo huyu refa,aongeze dakika hata kumi, yawezekana Simba wakaondoa hii sintofahamu ya wao kushindwa kufunga kipindi cha pili,tena Coastal wakiwa pungufu.Inafikirisha sana hii.
 
Umesahau mlitoka sare ya 3-3 na Coastal Union?
 
Benchi la ufundi,wampelekee kimemo huyu refa,aongeze dakika hata kumi, yawezekana Simba wakaondoa hii sintofahamu ya wao kushindwa kufunga kipindi cha pili,tena Coastal wakiwa pungufu.Inafikirisha sana hii.
Utopolo mnajifikirisha, why Simba imeshinda 3....! Ndo Soka Lilivyo
 
Simba hawana furaha, walitaka magoli 8 ili wapigwe ubaridi pale juu
 
Naunga mkono hoja
 
Walakini gani?.Kwani hiyo timu pinzani wao hawarekebishi makosa yao.Au kazi ya mwalimu ni nini sasa?.
 
😂🤣😁😁🤣🤣kolo haujui kitu
 
Sioni tukipoteza mechi yoyote msimu huu, timu yetu imeenea. Tuna kikosi kizuri na kipana sana.

Ova
 
3g inatosha. Tuna mechi muhimu zaidi dhidi ya Power Dynamos. Nadhani tume huru ichunguze ichunguze kwa nini wachezaji wa Simba wanaumizwa kwenye mechi dhidi ya timu zinazoongozwa na watu wenye mahusiano na Utopolo. Leo Coastal ya Zahera kaumia Inonga, mwaka jana Singida ya Pluijm na yule mmiliki walimuumiza Phiri
 
Walakini gani?.Kwani hiyo timu pinzani wao hawarekebishi makosa yao.Au kazi ya mwalimu ni nini sasa?.
Walakini upo,why iwezekane wakiwa wote,ishindikane wakiwa pungufu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…