FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Tupe na ushahidi
 
Wao siyo wa kwanza kuumizwa.Kuhusu Dynamo.. mnakuja kutolewa,save hii komenti.
 
Hii Simba mi naona mbovu tu halafu inaridhika haraka. Hili Kibu nalo lafa tu. Nimechukia Sana, maana wachezaji hawaelewi Ligi ya mwaka huu ngumu kiasi gani kwa hivyo kushinda idadi kubwa ya magoli ni muhimum
Hahahaha,bado mtasema na mumshukuru Arajiga kwa kuwatoa Coast mchezeno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli kilaza,kinachoanza kwanza ni GD mkilingana ndio inakuja head to head.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…