FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Hao simba bado tu hawaja pata goli hata moja??? Mnaongalia mpira kulikoni huko
 
Simba inasumbuka kupata magoli kwa sababu kiungo ya Simba haimsaidii mshambuliaji kutengeneza nafasi, pasi nyingi zisizo na malengo zinachezwa nyuma halafu wakifika kati wanakosa ubunifu wa kufika kwenye box. Na kibaya zaidi hakuna hata mmoja, labda Phiri tu wa kupiga mashuti ya mbali.

Bado naamini Saidoo ni hasara kuliko faida kwa Simba, jasho lake na penati zake zinatudanganya sana.
Huyo ndo kirusi chenyewe kwenye timu kaka.....
 
Sio kweli hilo angeliona mwamuzi wa kati, lkn kama aliyekataa ni Kibendera maana yake amedai kipa alitoka miguu yote.
Vp sasa hivi baada ya kuangalia picha za marejeo ya AZAM Tv umeamini maneno yangu?
 
Ila huyu refa anatupa lawama za kijinga sababu iwapo kosa ni kipa kutoka ndo imefanya penati irudiwe binafsi kosa silioni sababu mguu bado ulikuwa kwenye mstari, unless kosa liwe ni wachezaji kuingia kabla penati haijapigwa.

Tuna kazi ya kushinda magoli halali kufuta huo utopolo.
 
Nimewaambia.
Kocha wetu keshaona.
Kikosi kimeingia kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom