FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Cookie ile penati kipa alidaka kwa kuvunja sheria kwa hiyo ilirudiwa

Tunaomba hapo juu pasomeke moja bila
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mpira mtamu sana..ila kagera sugar wala senene..majinga kabisa..wanataka kumuumiza tena Phiri....
 
Simba waongeze ukali kidogo kwenye mashambulizi.
Kuna goal za kutosha hapa
Phiri aende nje tu baleke aingie pale mbele. huu uwanja ni ngumu kufunga magoli mengi, Mzamiru pia aende nje aingie miguvu mingi akili kidogo Kibu
 
Penalty imerudiww kwasababu ya wachezaji wa simba na Kagera waliingia kwenye box kabla ya penalty haijapigwa na Saido
Sio kweli hilo angeliona mwamuzi wa kati, lkn kama aliyekataa ni Kibendera maana yake amedai kipa alitoka miguu yote.
 
Phiri aende nje tu baleke aingie pale mbele. huu uwanja ni ngumu kufunga magoli mengi, Mzamiru pia aende nje aingie miguvu mingi akili kidogo Kibu
Yes.
wawe wakali kidogo
 
Back
Top Bottom