FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Kipindi anadaka zile penati dogo Ally Salim tuliwasikia mkisema kuwa Ally Salim alikuwa anatoka kwenye mstari kabla ya penati kupigwa.

Mkaenda mbali kusema kukiwa na refa makini penati zote zingerudiwa

Leo kachezesha refa makini natumaini mneridhika
 
Sheria iko wazi mguu mmoja lazima uwe umebakia, acha ushabiki maandazi Kiazi wewe.
 
Back
Top Bottom