FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Simba inasumbuka kupata magoli kwa sababu kiungo ya Simba haimsaidii mshambuliaji kutengeneza nafasi, pasi nyingi zisizo na malengo zinachezwa nyuma halafu wakifika kati wanakosa ubunifu wa kufika kwenye box. Na kibaya zaidi hakuna hata mmoja, labda Phiri tu wa kupiga mashuti ya mbali.

Bado naamini Saidoo ni hasara kuliko faida kwa Simba, jasho lake na penati zake zinatudanganya sana.
 
Hakuna aliyebebwa hapa.
Kagera wamezidiwa makosa mengi yanatokea kwasababu wameamua kupack Bus
Kabla ya ile failo, mchezaji wa Kagera alikuwa ana u clear ule mpira kwa kichwa lakini kachezewa vibaya sana na Kanoute hadi akaanguka chini pasipo kuucheza ule mpira. Ilitakiwa Kagera ndio wapige faulo ila refa akafumba macho ili tu Simba ipate goli.
 
Refa ni binadamu pia.
 
HAHAHAAH ila ushabiki raha sana...
Wacheni tule penaaaati...na nyingine 3 bado..
 
Back
Top Bottom