FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

DK 26'
Simba wanapiga faulu hauzai Matunda
 
Uwanja unaonekana mdogo leo
 
Wachezaji wa Kagera wengi wana vitambi😂
 
Hii mechi Simba wasipokuwa makini watajikuta wamepata majeruhi wengi ns mechi ya Jumanne ikawa tough
 
Phiri amechezewa faulu mbaya sana
 
Tutawapiga tu.
Ni swala la muda
 
Back
Top Bottom