Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Azam Complex hawakuonesha uungwana ile siku ambayo tulikuwa tuna mechi na Power DynamoKwanini Simba hawaendi chamazi, wanaupendea nini uwanja wa Uhuru?
Simba alikodi uwanja punde tu baada ya mechi ya Yanga kumalizika na kiutaratibu uwanja ulitakiwa uwe chini ya umiliki wa Simba.
Lakini haikuwa hivyo bado wasimamizi wa uwanja wa Azam waligoma kutoa idhini kwa viongozi kuingia uwanjani.
Hata ilipofika kesho yake asubuhi bado wachezaji wa Azam walionekana kufanya mazoezi kwenye uwanja huo huku Simba waliokodi wakinyimwa uhuru.