FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Tulikuwa tuna struggle mwanzoni kwa sababu ya aina ya uchezaji.

Kwasasa tutampiga yeyote ndani ya ligi bila kujali ni wapi na muda gani
Reserve this.
Tulikuwa tunaumizwa na Mpira ' Objective ' ametutesa sana, do! Afadhali Sasa tunapumua
 
Kweli

Sibishi, mimi siyo chicken spring. Hata muda niliotumia kama member hapa JF ni zaidi ya umri wa wanachama wengi leo.
Ebu Mhenga unaikumbuka hii list enzi hizo Uwanja wa Taifa Sasa ni Uhuru,
1- Athman Mambosasa aka Angaza juu
2- Shaban Baraza au Daud Salum aka Bruce Lee
3- Mohamed Kajole aka Machela
4-Athman Juma
5-Omar Chogo. (Muasisi wa Chogo chemba)
6- Omar Gumbo au Khalid Abeid
7-Willy Mwaijibe (winga huyu hakuna mfano wake hadi Sasa)
8-Haidary Abeid aka Muchacho
9-Adam Sabu
10-King Abdallah Kibaden ( enzi hizo jina la Mputa Bado. Miaka ya 70)
11- Abas Dilunga aka Sungura
Hii ndio Simba iliyokuwa inatawala Africa Mashariki na ndio walikuwa wa kwanza kubeba challenge na kuwatesa waArabu Mehala El Kubra 1974 nusu fainali ya CAF hadi waArabu wanarusha mawe kwao.
 
1974 Uwanja wa Taifa (Uhuru) vijana tulikuwa tunaruka ukuta kuingia uwanjani, zaidi ya hapo tulikuwa tunasubiria dakika za fungulia mbwa
Mkuu umekula chumvi nyingi unakaribia kustaafu
 
Back
Top Bottom