FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Moja kati ya viwanja ambavyo huwa naona ni vya kipumbavu sana.

(Uhuru Stadium)
Nilikanyaga mara kadhaa ule uwanja, kama hawajaufanyia marekebisho ya pitch, hakika ni uwanja wa hovyo.

Nyasi zake ni fupi fupi sana halafu ngumu kama nyuzi za gunia hivyo zinakata, halafu ule mchanga wake (bandia) unachoma balaa
 
Viwanja kama hivyo huwa ni vibaya sana wakati wa jua, najua ni uwanja wenye nyasi bandia ila sijajua ni grade gani.

Uwanja mbovu mno.
 
View attachment 2842831
Match Day.
Simba Vs Kagera Sugar
Time 1600.
15.12.2023.
Uhuru Stadium.

All The Best Mnyama.
#nguvumoja#
1702642923895.png

Kikosi…
 
Simba sasa tuko vyema... Sasa hv ni kuwagonga tu kummammae
 
Kikosi kama nimekielewa fulani hivi, ngoja tuone itakuwaje.. Kila la kheri mnyama.
 
Hakuna uwanja ambao siuelewi kama uhuru stadium hua hatuko confortable kabisa kwenye ile pitch hua tuna struggle sana, sijui kwanini Simba hakuchagua Azam Complex!!!
Simba wajenge uwanja wao ili waachane na hii tabia waliyoizoea ya kutangatanga kutafuta uwanja wa kuchezea mechi zao.

Aibu kubwa sana Kwa timu kubwa na kongwe kushindwa kumiliki uwanja wao miaka kedekede wanategemea vya ndugu, mishipa yao ya aibu huenda ilishakatika

NB; Yanga nao hili linawahusu.
 
Back
Top Bottom