FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Shida yenu hamanaga akiba..yani huwa mnamaliza yoote...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tulieniii
Uzuri hajaja hapa kujaribu bahati, tayari kafanya makubwa mno hapa Africa.

Hebu jaribu kumlinganisha na kocha yoyote kwenye hii ligi yetu, halafu urudi mezani tuzungumze.
 
Back
Top Bottom