FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Yani upyaaaΓ aaaaaaaaaa
Mpk bocco amepata moralii
Tuheshimu makocha wetu...
Onana mmeshaanza kumuona sasa
Akipewa muda atarudisha moto wakee
Onana hata leo kazingua
 
Inahitaji seminar ya ma striker jinsi ya kumaliziq mipira ya mwisho...Phiri yuko vzr ila Baleke ana wenge sana anatakiwa atulie...
Leo yalikua magoli 6 niliyoyahesabu
Nafasi zote zile walizokosa kina Baleke, Kanoute, Malone na wengine, Phiri hakuachi kwenye zile nafasi
 
Inahitaji seminar ya ma striker jinsi ya kumaliziq mipira ya mwisho...Phiri yuko vzr ila Baleke ana wenge sana anatakiwa atulie...
Leo yalikua magoli 6 niliyoyahesabu
Yalikuwa zaidi. Kumbuka Putin amekosa mawili ya wazi. Bocco kakosa. Che Malone naye siyo striker Ila kakosa. Chama kakosa mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…