Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wydad yamtimua kocha ikiifuata SimbaIla daah kocha wetu ni bonge la mzungu yaniiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wydad yamtimua kocha ikiifuata SimbaIla daah kocha wetu ni bonge la mzungu yaniiiii
Ambayo ina maanisha nini?Hakupata nafasi kama walizopata wao...
Majibu unayo mwenyewe..nikijibu utauliza..ww jijibu tuu unaloona linakufurahisha moyo wako.. 😆Ambayo ina maanisha nini?
Na kule Benchi la fundi msaidizi wa Mexime ni Kaseja.....yaani yangefika ishirini...Yalikuwa zaidi. Kumbuka Putin amekosa mawili ya wazi. Bocco kakosa. Che Malone naye siyo striker Ila kakosa. Chama kakosa mawili.
Inamaanisha hajui kukaa kwenye Nafasi, hajui kujiposition anazunguka kama pia.Majibu unayo mwenyewe..nikijibu utauliza..ww jijibu tuu unaloona linakufurahisha moyo wako.. 😆
hiyo siku haipo mbaliIpo siku onana atafanya maajabu...kama Kibu Deee
wachezaji wenye utimamu kama kabwili???Ushauri kwa Simba, mnapotafuta mchezaji angalieni na utimamu wa akili. Kuna wachezaji Simba wana shida hiyo. Lack of seriousness ni dalili kubwa ya kutokuwa timamu wa akili.
Ndio ladha ya mpira hiyo. Unataka kila nafasi goli lifungwe, siitakuwa netball hiyo?Yalikuwa zaidi. Kumbuka Putin amekosa mawili ya wazi. Bocco kakosa. Che Malone naye siyo striker Ila kakosa. Chama kakosa mawili.
Hata sijui umeni quote ya kazi gani 😀Ndio ladha ya mpira hiyo. Unataka kila nafasi goli lifungwe, siitakuwa netball hiyo?
Mambo aishaMkishinda mimi aisha
Baada ya kuona majibu hayapatikani nimeamua kuingia chimbo na kujijibu mwenyewe kama ifuatavyo:Jamani leo kuna kitu cha ajabu nimekiona kwenye mchezo huu. Mbona FOURTH OFFICIAL hatulii? Anakuwa kama ni linesman jinsi anavyohangaika. Naomba mnaofahamu vizuri majukumu ya fourth official mnifahamishe
Mechi za Cacl zipo ndani ya huo mudaHuyu kocha na benchi lake wapewe muda na rasilimali za kutosha.
Lakini kuna vitu tusiwe tunasahau.Nikiangalia mafowards wetu tuna mengi ya kujifunza kwa Mayele katika umaliziaji, nafasi kama za leo aliyopata Onana, Baleke na Phiri unaona kabisa pale Mayele anafunga, kuna mpira alipewa Onana badala ya kuongezea speed golini kwa nguvu anapata tena mda wa kuchenga, maeneo yale mtu kama Mayele chenga ni moja tu au ikipigwa pass hasimamishi mpira anauongezea shuti moja kwa moja kwenye angle.
Sipendi Yanga ila jamaa alikuwa na uwezo binafsi,atazunguka ndani ya dk 90 akipata tu mwanya mmoja anabadili matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Makolokolo hawatakuelewa kamwe! watakaza mafuvu kuwa mbona hakuwai kuwa na ushindani wowote kwa kukabana ufungaji bora misimu miwili yote Yanga akiwa Bingwa NBC PL TZ?Nikiangalia mafowards wetu tuna mengi ya kujifunza kwa Mayele katika umaliziaji, nafasi kama za leo aliyopata Onana, Baleke na Phiri unaona kabisa pale Mayele anafunga, kuna mpira alipewa Onana badala ya kuongezea speed golini kwa nguvu anapata tena mda wa kuchenga, maeneo yale mtu kama Mayele chenga ni moja tu au ikipigwa pass hasimamishi mpira anauongezea shuti moja kwa moja kwenye angle.
Sipendi Yanga ila jamaa alikuwa na uwezo binafsi,atazunguka ndani ya dk 90 akipata tu mwanya mmoja anabadili matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiangalia mafowards wetu tuna mengi ya kujifunza kwa Mayele katika umaliziaji, nafasi kama za leo aliyopata Onana, Baleke na Phiri unaona kabisa pale Mayele anafunga, kuna mpira alipewa Onana badala ya kuongezea speed golini kwa nguvu anapata tena mda wa kuchenga, maeneo yale mtu kama Mayele chenga ni moja tu au ikipigwa pass hasimamishi mpira anauongezea shuti moja kwa moja kwenye angle.
Sipendi Yanga ila jamaa alikuwa na uwezo binafsi,atazunguka ndani ya dk 90 akipata tu mwanya mmoja anabadili matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mayele yeye na kipa lakini kakosa
Mayele huyu huyu ambaye kakosa nafasi zaidi ya tano bado mnaona sio galasa kwakuwa kawafungia goli moja?
Daaah tuna safari ndefu sana
Mayele kakosa magoli manne mbili zimegonga post mbili kipa kadaka ulitaka Kaze afanyeje, huu ni mpira saa zingine msiwe mna laumu hata opponents wanataka ushindi pia
Zalan ni mbovu ila Yanga ndio mbovu zaidi
Aziz Ki ye na kipa kakosa
Mayele kakosa magoli zaidi ya manne
Yanga wangekutana na hii timu ambayo inacheza na Geita nadhani tungekuwa tunaongea habari nyingine
Mayele yeye na kipa tena lakini kakosa
CAF wakiangalia hii mechi watakuwa wanajiuliza ile hattrick aliipataje?
Mayele kakosa goli tamu sanaaa
to me mayele ni mchezaji wa kawaida sana. si wa hivyo anavyozungumzwa. anapoteza sana nafasi. kwenye chances 7 anafunga goli moja. juzi tu kakosa chances 3 clear kafunga moja.
Mwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa
Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
Dakika 17' kipindi cha Pili
Kagera 0-1 Yanga
Mayele kakosa goli
Hakuna mechi inachezwa bila mganga kucheza mechi hapa katika ardhi ya kitanganyika.
Hata wachezaji wana amini katika kuroga ushinde mechi kuna mechi moja Mayele kakosa sana Magoli,akaenda kuishika nyavu ya goli akiamini kuna uchawi.
Umekiri kuwa Mayele ni mzuri, huyo huyo Mayele unayesema ni mzuri kakosa magoli ya wazi zaidi ya manne kwenye mechi dhidi ya Ruvu shooting. Je uzuri wa Mayele upo wapi?
Mayele kakosa goli la wazi kabisa yeye na kipa tu
Mpira hujui, mchezaji ana hukumiwa kwa nafasi alizokosa. Musonda kwenye ligi mechi alizocheza dakika tisini simlaumu. Mechi yake kabla ya leo kampa pasi murua kabisa Mayele. Mayele yeye na kipa kakosa. Leo pia huyo huyo Musonda kapiga shuti kipa kaupangua mpira umemfikia Mayele lakini yeye na kipa kakosa. Acha mihemko
Jamani naambiwa hapa Musonda amepata nafasi tatu za wazi lakini amekosa magoli
Mleta mada alifanya siri
Unamsitiri?
Niambie kati ya mechi 10 zilizopita za Simba, mechi ambayo Kibu alikosa goli hata moja la wazi. Jana Mayele kakosa magoli mangapi?
Goli la pili la juzi dhidi ya Ihefu, angekuwa mtu mwingine yoyote angejaribu kufunga mwenyewe na Kibu angeweza kufunga pale ila kama nilivyokwambia anaelewa jukumu lake la msingi na alilitekeleza vizuri, leo hii tunamshangilia Baleke.
Pia, Kibu hachezi kama no 10 kwa sasa.
Mayele kakosa tena goli la wazi
Mayeleeeeee ohhhhhhhhhh
Kwamba angekua mayele ndio angefunga hizo nafas tulizokosa, hv mbona kila mtu ikitokea nafas anamtaja mayele mkumbuke mayele amefunga goal 17 tu kati ya 67 tulofunga msimu huu... Mayele alikua kipenz chetu ila magoli kakosa sana tu
Ni sawa lakini maamuzi ya refa kurudia penati ni sababu refa na linesman waliona golikipa alitoka kabla ya Mpira kutoka miguuni mwa saido.Huoni kwamba wachezaji wengi walikuwa ndani ya pernat box?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hakuna uwanja ambao siuelewi kama uhuru stadium hua hatuko confortable kabisa kwenye ile pitch hua tuna struggle sana, sijui kwanini Simba hakuchagua Azam Complex!!!