FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025

Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.

Kaa nami katika uzi huu upate update ya matukio yote yakakayojiri.


Mashabiki mbalimbali waliohudhuria


Alikiba akitumbuiza kwenye tamasha la Simba Day 2024


Msemaji wa Simba akiingia uwanjani


Kikosi cha APR


Kikosi cha Simba kinachoanza

1' - Simba 0 - 0 APR

5' - Simba 0 - 0 APR

10' - Simba 0 - 0 APR

15' - Simba 0 - 0 APR

20' - Simba 0 - 0 APR

25' - Simba 0 - 0 APR

30' - Simba 0 - 0 APR

35' - Simba 0 - 0 APR

40' - Simba 0 - 0 APR

45' - Simba 0 - 0 APR

HT - Simba 0 - 0 APR

47' - Debora ffernandeeeez goaal Simba 1 - 0 APR

50' - Simba 1 - 0 APR

55' - Simba 1 - 0 APR

60' - Simba 1 - 0 APR

65' - Baluaaaa Goal Simba 2- 0 APR

70' - Simba 2 - 0 APR

75' - Simba 2 - 0 APR

80' - Simba 2 - 0 APR

85' - Simba 2 - 0 APR

90' - Simba 2 - 0 APR

95' - Simba 2 - 0 APR
 
Muda wa mechi ni sangapi
 
SIMBA kama Mwabukusi day😍😍😍
 
Mikia muwahi mkawajue wachezaji wenu,maana hamuwajui kabisa,fanyeni fujo zenu zooote, Kaka yenu nitakuwepo kuangalia mechi live kwa Ben,nijue angalau unaweza kunichallenge au Ngungo out inaweza kuanza mechi ya tano tu ya season.

Kila la heri mbumbumbu fc kwenye tamasha lenu,na muenjoy sana maana ndiyo inawezekana ikawa mwanzo na mwisho wa furaha
 
Game ya Leo itabadili mtizamo woote wa dharau walizinazo timu nyingine kwa Simba. Hawatoamini macho yao. Baada ya game ya Leo wapinzani wa Simba watakumbwa na hofu kuu.

Mpaka Sasa sijaona aliyesema APR ni timu mbovu. Ila soon baada ya game utawaona wanavokuja kulazimisha ubovu wa APR.
 
Kuna haja gani ya kusema APR ni timu mbovu wakati tarehe 8 sio mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…