FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

images - 2024-07-19T162504.347.jpeg
 
Wakuu mi ni shabiki wa Lunyasi damudamu kwa kipind kirefu sana ila kwa sasa Yanga imenivutia sana, mnanishaurije ni kipindi cha mpito tu nivumilie au nihame tu kuifurahisha nafsi
Hata Manara alikuwa Lunyasi ila kwa sasa yupo Uto unaweza kuiga ya Manara ili uwe unalia na kuzimia chooni pale Uto wanapowapiga wana Lunyasi wenzio 😂
 
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025

Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.

Kaa nami katika uzi huu upate update ya matukio yote yakakayojiri..
Wakuu naomba mnijuze hii nechi inaanza saa ngapi?
 
Game ya Leo itabadili mtizamo woote wa dharau walizinazo timu nyingine kwa Simba. Hawatoamini macho yao. Baada ya game ya Leo wapinzani wa Simba watakumbwa na hofu kuu.

Mpaka Sasa sijaona aliyesema APR ni timu mbovu. Ila soon baada ya game utawaona wanavokuja kulazimisha ubovu wa APR.
Utopolo hawana akili. Sasa hivi wamekaa kimya lakini APR akishanyolewa utawasikia wanakuja hapa kuongea ushuzi.
 
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025

Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.

Kaa nami katika uzi huu upate update ya matukio yote yakakayojiri..
Ubaya Ubwela...
 
Back
Top Bottom