FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Hayo mambo ya kuzomea zomea sidhani kama yana mantiki yoyote. Kama hajafiti uongozi upo utamuondoa
Ni njia rahisi ya kufikisha hisia hasa pale unapoona uongozi unafumba masikio kinachoongelewa katika social media
 
Yule dogo wa Coastal Union aliyetambulishwa na Simba mbona sijamuona?
 
Wachezaji wamekunywa sana mazoezi, naona wote nyama za mapaja hazina hamu.

Naaam, makocha wa Fitness wanaonyesha kazi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…