Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni njia rahisi ya kufikisha hisia hasa pale unapoona uongozi unafumba masikio kinachoongelewa katika social mediaHayo mambo ya kuzomea zomea sidhani kama yana mantiki yoyote. Kama hajafiti uongozi upo utamuondoa
Atapigwa nyingiUnaikumbuka kauli ya Gamondi kuwa Simba ikija kistaarabu itafungwa mchache tu, ila ikijifanya mjuaji kutaka kulipa kisasi itapokea kipigo cha mbwa koko. kwa maneno yako haya utakuwa unawachongea kutengenezewa kipigo
Kupigwa ni matokeo, hatutajali. Timu bado mpyaIkitokea mmepigwa leo ndo mtajua kweli ubaya ubwela
Mmeanza sababuKupigwa ni matokeo, hatutajali. Timu bado mpya
Hatuweza kuwaiga nyinyi watoto wadogoIgeni…. Mfe
Hata mimi nilikuwa na swali kama lako. Ngoja nimuulize ephen wanguuAhmed kawakariri woteeeee
Nawaona wachawi wawili mna randa randa humu😁Atapigwa nyingi
😂😁Nawaona wachawi wawili mna randa randa humu😁
Ephen Yanga. Akikupa jibu nitagHata mimi nilikuwa na swali kama lako. Ngoja nimuulize ephen wanguu
Wewe na kiephen chako mnaloga mchana aseee🙄
Acha kusumbua wewe, huna time wakati unashinda kwenye mitandao.kila la heri, ikianza unitag nione kama nina time
Yanga day mumeiga wapi🤣🤣🤣Hatuweza kuwaiga nyinyi watoto wadogo