FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Wana Simba furahini kwenye siku yenu leo,
Maana kwa jinsi kikosi chenu kilivyo kipya ,
Inawezekana leo ndio ikawa siku ya kufurahi to the maximum kwa msimu mzima ...

INGAWA NENO LANGU SIO SHERIA " 😀✌️Cc ephen_
20240803_182643.jpg
 
Hayo mambo ya kuzomea zomea sidhani kama yana mantiki yoyote. Kama hajafiti uongozi upo utamuondoa
Ni njia rahisi ya kufikisha hisia hasa pale unapoona uongozi unafumba masikio kinachoongelewa katika social media
 
Yule dogo wa Coastal Union aliyetambulishwa na Simba mbona sijamuona?
 
Wachezaji wamekunywa sana mazoezi, naona wote nyama za mapaja hazina hamu.

Naaam, makocha wa Fitness wanaonyesha kazi yao.
 
Back
Top Bottom