FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

🤣🤣🤣🤣🤣Simba fanyeni mambo mengine bhanaaa mpira achaneni nao chezeni hata mdako
 
Wakuu mi ni shabiki wa Lunyasi damudamu kwa kipind kirefu sana ila kwa sasa Yanga imenivutia sana, mnanishaurije ni kipindi cha mpito tu nivumilie au nihame tu kuifurahisha nafsi
Hata Manara alikuwa Lunyasi ila kwa sasa yupo Uto unaweza kuiga ya Manara ili uwe unalia na kuzimia chooni pale Uto wanapowapiga wana Lunyasi wenzio 😂
 
Wakuu naomba mnijuze hii nechi inaanza saa ngapi?
 
Utopolo hawana akili. Sasa hivi wamekaa kimya lakini APR akishanyolewa utawasikia wanakuja hapa kuongea ushuzi.
 
Ubaya Ubwela...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…