ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
naona mzeewetu kazingatia engle
Aibu hiiπππ mpka refa kaingiliaekati
Tuta ni sehemu ya mchezoDuh hata match hii mnashinda kwa tuta la mchongo
Huyu si ndio yule mliyekuwa mnaimba hamumtaki? Ngoja nilale zangu, hakuna mechi hapa.Kafunika
π€£ππHawa wapuuzi wanalalamika nini ile ni penati clear
Afadhali umekiri na mapemaBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri