Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Furaha yao mwisho leo,mechi ya derby hawawezi kuja kwa ninachokiona uwanjani na maneno ninayo yasikia hapa VIP BTarehe 8 mtauelewa vizuri huo msemo ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ tunza hii comment
Isiwe tu ndo timu ilivyoNaona anawadanganya maadui
Yeah, kwenye mechi ngumu Ngoma ni lazima akae nje kama tunakata kuwa na Simba Sc nzuri kwenye eneo la katikati, hakuna option nyingine.Kagoma akikaza basi Ngoma atakaa sana nje.
Hakuna mpira wa hivyo...it takes time for team to clickTunataka matokeo ya fastafasta
GervinhoDuniani wawili wawiliView attachment 3060739
๐๐๐๐Muwape ushindi wamezani ngao ya jamii
Tafuta pesa yanga haita kusaidia kitu bwasheeUgali tulishautafuta kitambo ...mpira ni sehemu ya burudani kwetu,tunatumia pesa zetu
Mzee wa kupambania akeeeeeeeee๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKufata supu za Bure mko fasta kununua tiketi aaaah ๐คฃ
CC @ephen
๐๐๐Gervinho
Ngoma na mzamiru ndio weakest links in our teamYeah, kwenye mechi ngumu Ngoma ni lazima akae nje kama tunakata kuwa na Simba Sc nzuri kwenye eneo la katikati, hakuna option nyingine.
Wewe ni bwege huelewekiBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
Mmekusanyika mnacheeka wenyewe.๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Si ndo maana wananchi tunakunywaga supu kwanza ๐คฃ๐คฃ๐คฃTafuteni pesa mazee mpira hauleti ugali mezani๐ค
Pesa nilishatafuta dada yanguTafuta pesa yanga haita kusaidia kitu bwashee