FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Nivumilie kwenye wamekusanyana juzi? Wamekaa wiki 3 wakijiandaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sofar tumecheza vizuri bado kuna mapungufu ktk final third tunahitaji natural winger upande wa kulia ..chasambi aingie
Fullbacks zetu (Kapombe&Zimbwe) bado zinacheza kizamani mno, sioni mabadiliko yoyote ya kimbinu.

Tuwaone Nouma na Kijili nao.

Kwenye kiungo Ngoma na Mzamiru wanapwaya sana, tuone duo nyingine pia.
 
Bado tupo kwenye preseason

Chelsea ilifungwa na celtic goli 4

Arsenal kafungwa na liverpool

Mancity kafungwa na celtic

Madrid kafungwa na AC milan

So preseason haiakisi chochote zaidi ya kocha kuingiza mfumo mpya wa uchezaji
Mmh!Ila tarehe nane kuna maafa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
 
Leo bila shaka hamna lawama kwa Mangungu, Try Again na Mo

au sio wana51mba wenzangu
 
Bado tupo kwenye preseason

Chelsea ilifungwa na celtic goli 4

Arsenal kafungwa na liverpool

Mancity kafungwa na celtic

Madrid kafungwa na AC milan

So preseason haiakisi chochote zaidi ya kocha kuingiza mfumo mpya wa uchezaji
Hizo hesabu usilete bongo
 
Kwa dk 45 za kwanza, bado hakuna muunganiko wa timu. Ni suala la individual players. Tarehe 8 tunaweza nyanyasika iwapo kocha hatakuja na mbinu ya kuonganisha timu.
Naona anawadanganya maadui
 
Kumbuka Simba imefumua kikosi chake kwa sehemu kubwa na kocha amekuja na falsafa mpya ...inachukua muda mpk timu ikae sawa.

Tatizo wabongo hatujui mpira na hatuna subira.
Tunataka matokeo ya fastafasta
 
Hii simba inayocheza hapa ni ya hovyo sana labda wabadilike kipindi cha pili mana sio wanachocheza hapa.

Mzamiru na ngoma msimu ujao wandering tu yanga mana naona wameshaanza kuzeeka.
 
Back
Top Bottom