FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Mmekusanyika mnacheeka wenyewe.
63eeb2dc-a364-4b21-8b96-0bd9a8406841.jpeg
 
Bado tupo kwenye preseason

Chelsea ilifungwa na celtic goli 4

Arsenal kafungwa na liverpool

Mancity kafungwa na celtic

Madrid kafungwa na AC milan

So preseason haiakisi chochote zaidi ya kocha kuingiza mfumo mpya wa uchezaji
Hiyo inaeleweka.
 
Acha kufananisha full professionals na sisi huku unga unga mwana
 
Back
Top Bottom