black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Kipindi cha pili Ndio chetu sasaBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha pili Ndio chetu sasaBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
Mmekusanyika mnacheeka wenyewe.
Hiyo inaeleweka.Bado tupo kwenye preseason
Chelsea ilifungwa na celtic goli 4
Arsenal kafungwa na liverpool
Mancity kafungwa na celtic
Madrid kafungwa na AC milan
So preseason haiakisi chochote zaidi ya kocha kuingiza mfumo mpya wa uchezaji
Kama mimi ni dada yako umetisha sna bwashee😆😆Pesa nilishatafuta dada yangu
Hicho kiungo ni hewaHii timu bado sana kocha apewe muda ila ngoma na mzamiru hmm naona vilio tena msimbazi
Supu chafu kabisa hakuna supu paleSi ndo maana wananchi tunakunywaga supu kwanza 🤣🤣🤣
Min me ni jina la kike ndio maana nikakuita dada yangu ..wanawake wote ni dada zanguKama mimi ni dada yako umetisha sna bwashee😆😆
Acha kufananisha full professionals na sisi huku unga unga mwanaBado tupo kwenye preseason
Chelsea ilifungwa na celtic goli 4
Arsenal kafungwa na liverpool
Mancity kafungwa na celtic
Madrid kafungwa na AC milan
So preseason haiakisi chochote zaidi ya kocha kuingiza mfumo mpya wa uchezaji
Uelewe Mpira wewe bwege.Naona anawadanganya maadui
Ndugu yangu huyu tarehe 8 atakimbia jukwaani 🤣😁😁😁Vincenzo Jr kuna rafiki yetu anagawa dislike🤣🤣🤣
Supu chafu kabisa hakuna supu pale
Umeona boli la level za kimataifa linalopigwa na watoto Msimbazi burudani kama hizi utazipata Ulaya tu 🤣🤣🤣Mzee wa kupambania akeeeeeeeee😂😂🤣🤣🤣🤣
Yao Yao atamfukuza sana Cc ephen_Hakuna timu hapo 😂 huyo Mukwala ni muuza barafu huko kwao
Wewe ndio umesema ila mimi ni kidume kabisa na mbupu kubwa kabisa , ubaya ubwela mkuu.Min me ni jina la kike ndio maana nikakuita dada yangu ..wanawake wote ni dada zangu
🤣😁😁Wewe ndio umesema ila mimi ni kidume kabisa na mbupu kubwa kabisa , ubaya ubwela mkuu.