FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Kuna mchezaji amefunga usongo amekosa penalty.
 
Hii timu ndo maana kule misri ilikuwa inafungwa mpaka na timu za wanafunzi wa vyuo, inatakiwa simba ipewe muda maalumu isajili upya maana karibu nusu ya wachezaji ni wazito.
Zimbwe ajiudhuru kwa maslahi mapana ya wapenzi wa Simba
[emoji28][emoji28][emoji28] wewe ni Yanga
 
Hii simba bado sana,haina striking forces ya kutafuta magoli,bado bado bado sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…