FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Wacha weeh!πŸ˜€πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Jikite kwenye Yanga day mkuu. Unajali ya jirani kuliko ya kwakoπŸ˜€

Typical bongo.πŸ˜€
 
Ila nyie kucheza na wazuru walioponea kushuka daraja na kuwafunga ndio kipimo kuwa Yanga ni bora na hamuhitaji muda utoe majibu?
Yanga imecheza mechi tatu vs Ts Galaxy, Augsburg na Kaizer chief sasa hizo timu zote ziliponea kushuka daraja?
 
Kila shabiki la Mnyama anafuraha kubwa mno, nataman iendelee hivhivi ila ndo hvo tena.
 
Simba hamnaaa Timu hapoo, mtaamini Tarehe 8. Warwanda vyumba vya kubadilishia nguoo (HT) wamekwenda ambiwa muachie goals.

Wewe ukiangalia yale magoli, kuna
goal lolote unaweza sema limeachwa makusudi?

Yaani lile fataki la Deborah?

au

Ile free kick ya Balua?
 
Ubayaaaa ubwelaaaa
Hatusikilizi kelele za wanywa supu...
Simba moto kwanza unakolea...
DEBORA hoyeeee
 
Jana nilikua busy sana na Simba Day yangu...
Ya leo hayanihusu....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jana nilikua busy sana na Simba Day yangu...
Ya leo hayanihusu....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtu mmoja ukisusa ni takataka tu yanga ina watu milioni 30 nchi hii.
 
Ni mwanzo WA fu
raha Ka mkubwa
 
Wewe ukiangalia yale magoli, kuna
goal lolote unaweza sema limeachwa makusudi?

Yaani lile fataki la Deborah?

au

Ile free kick ya Balua?
Uchezaji wa Timu husika ndio chanzo Cha makosa kama hayoo. Utaelewa tu wakianza ligiii! We mpaka 90 zinaisha APR sijaona hata mchezaji mwenye uwezo Binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…