FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Leo tunaenda kuona magagulo ambayo Magori katusajiria huu msimu wanasimba tunaomba tuwe na moyo wa uvumilivu tu full stop πŸ›‘
Aisee uvumilivu wa sanda fc tayari umeshagraduate, nadhani uvumilivu huu unaingia mwaka wa nne sasa!! Sijui uvumilivu huu utaenda miaka mingapi!!

Nimeona huku Buza Mpalanger makolo wengi wamevaa medali zimeandikwa uvumilivu una mwisho !!

Yanga ina masifa sana vyuma vyote vya simba vya leo, tarehe 8 vitaitwa magalasa, watalalama ooh tumepigwa , Mangungo atupishe, yaani itakuwa fujo tupu pale mbumbumbu street (msimbazi)!!
 
Hivi ni kwanini huwa hatutafuti maneno yenye baraka!!! Sijapenda hili neno la UBAYA UBWELA .

Pia tusipende kuwatumia wazaramo kutuletea majina. Ndio hawahawa wanaowaita watoto wao Shida, Masumbuko, Njaa, Ubaya, Matatizo, Kicheche, Nyege, Anguko, Mazoea, Majanga, Haolewi
 
Ubwabwa Ubwela πŸ₯Ί
 
Nimefurahi kumuona rafiki yangu dj sinyorita hapa uwanjani😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…