Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hii michango, inanishangaza. Muanzisha uzi huu, katoa ombi, kuhusiana na Kibu, watu wanaazisha mambo mengine.
Kuna makosa mengine ukiyaona/ukiyasikia, unaweza kukisia akili za huyo mtu. Kwa hili la Kibu, ni la kushangaza sana. Wapo watu wanafananisha na kitendo alichokifanya Fei na Dube. Binafsi naona ni tofauti sana. Hiki cha Kibu, ni cha mtu asiyejua chochote. Yaani kama mtoto mdogo. Alichotaka kiwe, katika hali ya kawaida, bila ruhusa ya Simba, kilikuwa hakiwezekani.
Nami naungana na mleta hoja, asamehewe tu! Ingawa waliokuwa wanamshabikia kwa kumpotosha, wameshaanza kusema, apewe adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kutengwa na wenzie! Pia, wanadai Simba isipofanya hivyo, itaonyesha ni dhaifu! Sina shaka, kinachokuja ni ...."AKIADHIBIWA, AMEONEWA. AKIACHWA, AMEOGOPWA!"