FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Cha kuogopesha ni kipi b…? Team ambayo hata Kocha hawajui wachezaji wake vizuri? Wachezaji wenyewe bado hawajuani hata kwa majina.

Kichapo cha safari hii utanikimbia nilie kukumiss siku nzima.
Uzuri wakati huwa unafika. Na huu pia utafika inshallah.

Ova
 
Wakuu vipi huko mechi imeanza au bado?
 
Ubaya Ubwela (huyu sio mimi wakuu)
IMG_2642.jpeg
 
Hii Show wangewapatia Clouds Media au E-FM. CROW MEDIA bado wachanga mno. Mpangolio wa matuo ovyo.
 
Back
Top Bottom