FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

NItawaletea Live sasa maana mambo yameanza kupamba moto.

UBAYA UBWELA Tuna tamba na SANDA utopolo bado na imani za kichawi wakiona neno SANDA wanachangayikiwa

1722694477406.png


1722694397466.png
 

Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025

Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.

Kaa nami katika uzi huu upate update ya matukio yote yakakayojiri.

And today, marks the last day ya 5imba kuwa na furaha kwenye msimu huu wa ligi..!!!
 
Back
Top Bottom