Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Tupate wadhamin kidogo[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupate wadhamin kidogo[emoji2]
Oya jamaa anajua sana kazi anayoifanya, nilikuwa nimejilaza sitting room jamaa alipoanza kuimba asee nilijikuta nimeamka na so kuamka kisha kukaa kitako bali niliinuka kabisaKiba anapiga show kama Yuko Santiago ama st Peter's pale ujerumani, ni noma sana
Imeahirishwa ✔️Imehairishwa
Kizuri chajiuza iyo ngoma tamu sanaUlivyotoka nilikua nausikiliza kila siku wakati mimi ni YANGA[emoji23]
We utakua mvulana😏😏😏😏😏😂 Mi nilidhania mtakausha wakuu
Wadhamini waliomba hawa vijana wa super market .Tupate wadhamin kidogo[emoji2]
We mwanamke wa aina gani! Ukilala na mwanaume Hana nywele za kwapa kidogo na kule sehemu Hana kuwa makini sana utakua umepotea njia .Tabia ya hovyo, mimi huwa nasikia kinyaa
Sijapenda umepost mtu anafanana na mimi😣Wadhamini waliomba hawa vijana wa super market .
View attachment 3060624
Ndio hivyo bana watu wanasema Mungu ana watu wengiNdio watu wenu hao......
Kawaumbia na kina mwijakuNdio hivyo bana watu wanasema Mungu ana watu wengi
View attachment 3060631
Japo upo hivyo mama , ila ni wadhamini mimi ningefanya nini sasa😔Sijapenda umepost mtu anafanana na mimi😣