Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Strekaa refu kuliko goalNgoja waliopita jando na unyago walet jibu OKW BOBAN SUNZU
OKW akija waaa kakusuta
🤣🤣🤣🤣
Wanathimbaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Strekaa refu kuliko goalNgoja waliopita jando na unyago walet jibu OKW BOBAN SUNZU
Jukwaa la msemaji na si la wahudhuriaji....Haifai. Likianguka watu wakafa hapo haina usimba wala uyanga. Ubinadamu kwanza 🤣🤣
Uchawi tu madam b kusali aaaaaahMmasai pumzi zimembana....wanahema kama wanakata roho
Msukuma😂Huyu Ahmed ni mmasai?
Udugu umalaKenyan voice haisaidii kitu mazee hao ndio wadhamin wako .
Amka utajikojoleaVibe kali sana. Mchezaji umetoka kwenu huko Zambia unaweza kuingia uoga
Yaani, asa Ally kaimba nini?Wamasai wamechukua hela ya buree
NakuelewaJukwaa la msemaji na si la wahudhuriaji....
Nashkuru umeona..!Ujinga mwingi sana
Nishasali jana....Uchawi tu madam b kusali aaaaaah
Bora useme wewe madamm ..!!! Subiri kesho uone tutakavyonogaYaani, asa Ally kaimba nini?
Nikajua ana nyimbo mpya
Nilikuwa nasinzia. Naskia dogo anasema yoo mbona Kiba kazeeeka 😁Yaani, asa Ally kaimba nini?
Nikajua ana nyimbo mpya
Adui usimpe nafasi....😎Nakuelewa
Si hapo kwa hao wamasai sijui wazaramo 😃😃
Au kwako sawia tu adui muombee njaa?
Sisi wote watanzania ujue 🤣Adui usimpe nafasi....😎
Hyo sir ya kambi, hatuwez kushnda nanyi kwenye sekta hyoPicha tuone wali na maharage vinavyokimbiana kwenye sahani.
Wali huku maharage kule
Kama uko bize endelea kwani kuna shida, wenye muda acha tuendelee.Mimi sio mtu wa kuua siku kwa sababu ya mpira. Kama ni mechi nitaangalia hata highlights. Muda ukiwepo nitaiangalia yote