Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme kwa Sauti basi mwanangu😂😂Kujaza uwanja tu kuchukua makombe aaah..!
Anarusharusha mikonoSi unaona hatimui vumbi?
Halloww?
Hakuna kiongozi kapoa na mzembe kama huyo jamaaaTry Again ni kama anaona aibu
Moja na nusu jioniWakuu game ya simba vs apr saa ngap
Watu wa dar na kucheza wapi na wapi 🤣Anarusharusha mikono
Wacha waige pimbi hao Sisi Ndio wakali wa hizi kaziUtopolo wanaendelea kuiga
Huyu ni Boss kijana.Boss na kucheza wapi na wapi
Aliyeongelea kufirisika nani? critical thinking yako iko sawa kweli?Kumbe kucheza kunamfanya mtu afirisike?
Hivi hizi logic huwa mnazitoa wapi, au ni shule kichwani ndio hamna.?
kila la heri, ikianza unitag nione kama nina timeKama uko bize endelea kwani kuna shida, wenye muda acha tuendelee.
Huyu ni Boss kijana.Boss na kucheza wapi na wapi
Huyu ni Boss kijana.Boss na kucheza wapi na wapi
😂😂Sikukujua kama mgeni rasmi ni Masauni, moja kati ya mawaziri wabovu sana nchi hii.
Huyu hua ni MnyamaKhaaa! Tokea lini mwana FA akawa mnyama?🤔