OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa.
Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa 2022/23. Wasanii watatoa burudani wakiongozwa na Zuchu, Whozu, Tunda Man na Meja Kunta.
Mwisho kabisa kandanda saaafi dhidi ya St George ya Ethiopia mishale ya saa 12 Jioni.
Updates
Ndugu msomaji Tiketi zooote zimeuzwa
Updates
Mchezo wa utangulizi Simba Queens Vs Fountain Gate unaendelea.
FT: Simba Queens 2-0 Fountain Gate
Updates
Baada ya burudani nzito na utambulisho wa kikosi kazi na benchi la ufundi,ndugu msomaji hivi punde tutashuhudia soka kali
Usiondoke JF