View attachment 2317760
Mashabiki makini wa Simba Sc Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums.
Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa.
Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa 2022/23. Wasanii watatoa burudani wakiongozwa na Zuchu, Whozu, Tunda Man na Meja Kunta.
Mwisho kabisa kandanda saaafi dhidi ya St George ya Ethiopia mishale ya saa 12 Jioni.
Updates
Muhasibu Mkuu wa Simba Suleiman ametoa taarifa tiketi elf 52 zimeshauzwa na kubakia tiketi elfu 8 tu. Watu wanazidi kumiminika.
Usiondoke JF