FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Tumezingua kwenye jezi, leo ndo ilikuwa siku ya kuuza.

Mtengenezaji na Timu walitakuwa wajitokeze kuendelea sababu ya jezi kutowasili kwa wakati
 
Juzi kulikuwa na kibonanza cha wavulana... Leo ni shughuli ya wanaume..... Hatuna shughuli ndogo.... Kazi kazi....

Wale nzi wa kijani karibuni mjifunze toka kwa lidude fulani kuuubwaaaa Simba...

Kheri ya Siku ya Wana Simba Duniani 2022..!!!

#WeAreUnstoppable2022
#NguvuMoja
 
Back
Top Bottom