FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums.

Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa.

Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa 2022/23. Wasanii watatoa burudani wakiongozwa na Zuchu, Whozu, Tunda Man na Meja Kunta.
Mwisho kabisa kandanda saaafi dhidi ya St George ya Ethiopia mishale ya saa 12 Jioni.

Updates
Ndugu msomaji Tiketi zooote zimeuzwa

Updates
Mchezo wa utangulizi Simba Queens Vs Fountain Gate unaendelea.
FT: Simba Queens 2-0 Fountain Gate

Updates
Baada ya burudani nzito na utambulisho wa kikosi kazi na benchi la ufundi,ndugu msomaji hivi punde tutashuhudia soka kali


Usiondoke JF
 
Ngoja waanzilishi wa hizi mambo tukawafundishe Utopwinyo FC jinsi hili tamasha linavyotakiwa kua, sio Bonanza lao la Juzi.
 
Nawatakia Sikukuu njema, Muanze kwa kufurahi hadi mwisho wa sherehe mtoke uwanjani mkiwa na nyuso zenye tabasamu.

Sio wale majirani zenu juzi walitoka uwanjani wakiwa wamenuna kwa kichapo cha kina Manzoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…