FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

TUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA

VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Hii ni timu kubwa sana.. iko juu ya Vipers na Utopolo
 
TUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA

VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Hata wakati Vipers wanakuja mliwaita vibonde najua wakisawazisha na kuongeza kisha wakashinda, hawatakuwa vibonde tena.[emoji23].
 
Kanoute huwa anapanic sana team inapokuwa pressed, kuna pasi huwa anatoa ni fyongo sana.
 
Pira butua, naona watu wanagusa gusa mpira bila malengo hasa katikat naona wamepoteana, timu Bado sana labda fusubir kipind cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…