Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hebu tuambie mapungufu ya Yanga aliyopelekea kupigwa goli mbili bila majibu kama kweli wewe unajua kuongea kiuhalisia.BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuambie mapungufu ya Yanga aliyopelekea kupigwa goli mbili bila majibu kama kweli wewe unajua kuongea kiuhalisia.BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA
Anazingua sanaKanute atolewe, kwanza kwa nini amebaki?
HIVI KWANI KUA KOLO NI MPAKA UWE MPUMBAVU AU KUNA VIGEZO VINGINEUhalosia ni upi wewe Chura...
Wahi toilet ukashushe mzigo.... Kimba Fc wewe....
Mkuu ngoja tuone kipindi Cha pili. Wakiingia wangine. Ila hawa walionza first half hamna timu. Jumomosi tunawalaza saa 1 jioni watu na viriba tumbo vyao!Kama hii ninayo iona kipindi Cha kwanza ndio Simba inayotarajiwa kutoa Changamoto Kwa Yanga, Nashauri kocha nabi akanywe bia za kutosha na kupumzika.
Tuwasubiri kuwaona Azam au Singida, Simba haitakuwepo kwenye ushindani.
Washachanganyikiwa mkuuUtopolo mnasema Hawa st George wanakimbizana bila mpangilio vipi ninyi match ya viper mlikuwa na mpangilio gan?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Marehemu alikuwa rafiki wa mandonga[emoji23][emoji23]Marehemu aliponzwa na mdomo wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena wa ngumi[emoji23][emoji23]Huu kweli Utani hahaha
Kwa ujinga ulivyowajaa kesho wataenda kushtaki TFFHuu kweli Utani hahaha
Simba siyo Mali ya Barbara.Simba ya mwaka huu ni motoo. Simba ya baaaaaarbra ni motooo